Wednesday 18 September 2019

KONGAMANO LA KWANZA LA MAOMBI KWA WANAFUNZI NA WANA VYUO WOTE WILAYANI KOROGWE LILILOANDALIWA NA HUDUMA YA JVM, KATIKA MADHABAHU YA JVM CENTER-MAKUYUNI (Sep, 2018)

1. Wanafunzi wakifanyiwa maombi ya ukombozi amoja na mitihani yao

2. Mtumishi wa Mungu na Kiongozi wa kituo cha JVM Center-Makuyuni 
Ev. Ernest Baluah
akitoa neno la Msingi

3. Wanafunzi wakisikiliza neon la Mungu


4. Wanafunzi wakimsifu Mungu kwa shangwe


Sifa za Mungu zikiwa zinaendelea


Viongozi waliokuwa wakiongoza Kongamano
wakimshukuru Mungu kwa pamoja
mwishoni mwa kongamano


0 comments:

Post a Comment