HUDUMA YA JVM TZ KWALUKONGE

Huduma na maombi yaliyofanyika Kwalukonge

KUHUBIRI NENO LA MUNGU

Mtumishi Nasari akifundisha neno la Mungu

SEMINA YA SEKOMU

Wanafunzi wakisikiliza semina

SEMINA YA SEKOMU

Wanafunzi wakisikiliza Semina

SEMINA YA SEKOMU

Watumishi; wakati wakiendelea na Semina

Monday 23 September 2019

USHUHUDA WA KIJANA ALIYETOWEKA NYUMBANI KWAO KATIKA MAZINGIRA YA KUTATANISHA



HIYO NI PICHA AMBAYO
WATUMISHI WA HUDUMA YA JVM
WALILETEWA NA WANA FAMILIA
WA KIJANA HUYU,
NA KUIFANYIA MAOMBI YA IMANI

NA HATIMAYE MUNGU ATAFUTAYE
NA AOKOAYE VILE VILIVYOPOTEA
ALIMTAFUTA NA KUMWOKOA
KIJANA HUYU
AMBAYE MBALI NA KWAMBA
ANA UMRI MKUBWA NA
UFAHAMU SAHIHI
LAKINI ALIPOTEA.

KWA SALA NA MAOMBI
YALOMFIKIA MUNGU
KIJANA HUYU ALIPIGA SIMU
MWENYEWE TU
NA KUIFAHAMISHA FAMILIA YAKE
INAYOISHI
KWASUNGA-KOROGWE-TANGA-TANZANIA
YA KWAMBA YEYE YUPO NCHINI KONGO

"SIFA NA UTUKUFU NI KWA BWANA YESU''

USHUHUDA WA ALIYECHUKULIWA NA MIZIMU NA KUPATIKANA KWA MAOMBI

MTOTO(MWANAFUNZI)
WA SHULE YA  MSINGI
ALIYETOWEKA NYUMBANI KWAO
KWA KUTOWESHWA NA MIZIMU
APATIKANA KWA MAOMBI



________________________________________________________________________________





HUDUMA ZA UBATIZO NA KUOKOKA NA KUZIKANA IMANI ZAO NA KUMFUATA YESU

JUU: Ni watumishi wa Mungu
katika huduma ya JVM,
wakiombea maji, ishara ya
kumhusisha Roho Mtakatifu
Kabla ya maji hayo kutumika
katika kubatiza.



PICHA MBILI ZA JUU:
Ni mama na mwanaye
(Kutoka Mombo)
ambao kwa pamoja waliamua
kumfata Yesu, na kuzaliwa
kwa mara ya pili
kwa njia ya Ubatizo




CHINI:
NI HUDUMA ZA WATU MBALI MBALI
WALIOSADIKI KUZIKANA IMANI ZAO
ZA MWANZO NA KUAMUA
KUMFATA YESU
NA KUBATIZWA KATIKA MADHABAHU
YA HUDUMA YA JVM-MAUKUYUNI






PICHA YA JUU:
Ni Bi Anna, kutoka kwasunga,
akipokelewa kwa furaha
na shangwe,
mara baada ya kuamua kuikana imani yake
alokuwa akiamini mwanzo
na kuamua kumfuata Yesu
na hata kubatizwa
na kuwa wa Imani ya Kristo.

HUDUMA ZA UTEKETEZAIJI MIFUKO YA UGANGA NA UAGUZI


MAMA ALIYEKATAA
KURITHI MFUKO WA UGANGA
NA UAGUZI
NA KUAMUA
KUUSALIMISHA
KWA YESU
JUU: ni Mkurugenzi wa huduma ya JVM
Akionyesha baadhi ya vitu
vilivyokuwamo katika
mfuko huo wa uganga na uaguzi
ambao mtu aliyerithishwa
aliamua kuusalimsha
madhabahuni
na kukubali kumpokea Yesu.








 
 
PICHA MBILI JUU NA CHINI:
NI MAMA HUYU AKIPOKELEWA
RASMI
Katika Madhabahu ya huduma ya JVM,
Kituo cha Makuyuni(Center)




CHINI: Ni watumishi wa Mungu
katika huduma ya JVM,
Wakiteketeza mfuko huo wa uganga
na uaguzi.



Thursday 19 September 2019

HUDUMA ZA UKOMBOZI, KUFUNGULIWA NA KUWEKWA HURU

PICHA JUU: Ni mabinti walioteswa na nguvu za giza
wakifunguliwa katika mkutano
uliofanywa na huduma ya JVM [Madumu]





Huduma za kufunguliwa kutoka nguvu za giza
zikiwa zinaendelea
ndani ya madhabahu ya JVM












CHINI: Ni mama aliyeumwa na kiuno kwa miaka mingi, akifunguliwa
na kuwa mzima tena. Katika madhabahu ya JVM Makuyuni.




Huduma za kufunguliwa kutoka nguvu za giza
zikiwa zinaendelea
ndani ya madhabahu ya JVM






CHINI: Ni watumishi wa JVM
wakifanya huduma kwa dada
aliyesumbuliwa na shetani
kwenye eneo la koo la chakula




CHINI: Ni watumishi wa JVM wakimfanyia huduma
mwanafunzi  wa Sekondari
ambaye alikuwa na kawaida ya
kuvamiwa na mapepo awapo shuleni





Huduma za kufunguliwa kutoka nguvu za giza
zikiwa zinaendelea
ndani ya madhabahu ya JVM




CHINI: Ni watumishi wa huduma ya JVM
Wakimfanyia huduma
motto ambaye alikuwa
akitawaliwa na udhaifu wa kimwili
wa mara kwa mara.



Wednesday 18 September 2019

MKUTANO WA INJILI WA MADUMU (Apr, 2017)


Maombi yakifanyika kwa mtu aliyepooza


Wana JVM wakimsifu Mungu wakati wa mkutano






Ev. Mweli akifanya maombi
ya kumkaribisha mtumishi wa neon la Mungu

Watoto wa Mungu, bila kujali Imani zao
wakiwa katika mkutano wakilisikiliza neon la Mungu







Mkurugenzi wa huduma ya JVM-Tanzania Rev E.F. Nassari
akiendelea na mahubiri ya neno la Mungu
katika viwanja wa madumu