HUDUMA YA JVM TZ KWALUKONGE

Huduma na maombi yaliyofanyika Kwalukonge

KUHUBIRI NENO LA MUNGU

Mtumishi Nasari akifundisha neno la Mungu

SEMINA YA SEKOMU

Wanafunzi wakisikiliza semina

SEMINA YA SEKOMU

Wanafunzi wakisikiliza Semina

SEMINA YA SEKOMU

Watumishi; wakati wakiendelea na Semina

Tuesday 26 April 2016




                                                       Gari ya kiongozi wa JVM nje ya kituo



                                                              Waumini wakiwa ktk Ibada

Taasisi ya JVM inajishuhulisha na Mradi wa ufugaji wa nyuki ktk maeneo ya Kiteto Mkoa wa Manyara-TZ.
Mizinga hii ya kisasa idadi yake ni 70,na mizinga ya kienyeji ipo 200.





                                           TAASISI HII YA JVM PIA INAENDESHA SEMINA MBALIMBALI

                                                     Wahitimu 30 wa semina ya ujasiliamali.

                       Mkurugenzi wa kituo cha JVM akitoa vyeti baada ya semina ya Ujasiliamali












ktk Semina hii masomo yalikua kutengeneza: Batiki,Dawa za vyoo,keki,mafuta ya kupaka,upambaji na sabuni ya maji.





Evangelist E.Nasari akifanya maombi kwa mama na mtoto,mama huyu alipimwa na madaktari akaambiwa lazima ajifungue kwa Upasuaji.lakini baada ya kufanyiwa maombi alijifungua salama bila ya upasuaji.