HUDUMA YA JVM TZ KWALUKONGE

Huduma na maombi yaliyofanyika Kwalukonge

KUHUBIRI NENO LA MUNGU

Mtumishi Nasari akifundisha neno la Mungu

SEMINA YA SEKOMU

Wanafunzi wakisikiliza semina

SEMINA YA SEKOMU

Wanafunzi wakisikiliza Semina

SEMINA YA SEKOMU

Watumishi; wakati wakiendelea na Semina

Saturday 30 January 2016

MKUTANO WA INJILI MOMBO TANGA TANZANIA

Evangelist E.Nasari  wa (JVM) Tz akijianda kutoa neno la Mungu

 Maombi yakifanyika kwaajili ya kufungua mkutano-ktk viwanja vya usharika wa Mombo

 Makutano wakipokea maombi

 Makutano wakisilkiliza neno la Mungu


Evangelist E. Nasari  wa  (JVM) TZ akiombewa baraka na ulinzi wa Mungu baada ya kufunga mkutano

UBATIZO 
Ubatizo umefanyika ktk kituo cha Maombi na Maombezi cha Jesus Vision Ministry Tanzania  (JVM) kilichopo Makuyuni Tanga Tanzania
 Evangelist E.Nasari akimbatiza binti alieamua kuukana uislam na kujiunga na Ukristo

EVANGELIST E.NASARI WA JVM AKIHUBIRI NENO LA MUNGU KTK MKUTANO WA INJILI  VIWANJA VYA KKKT-USHARIKA WA MLINGANO-TANGA
Makutano wakisikiliza neno la Mungu  
Evangelist E.Nasari akiwafungua kwa jina la Yesu watu waliofungwa na nguvu za giza