Saturday 30 January 2016

UBATIZO 
Ubatizo umefanyika ktk kituo cha Maombi na Maombezi cha Jesus Vision Ministry Tanzania  (JVM) kilichopo Makuyuni Tanga Tanzania
 Evangelist E.Nasari akimbatiza binti alieamua kuukana uislam na kujiunga na Ukristo

0 comments:

Post a Comment