MIRADI

JVM Tanzania haijishuhulishi na kuhubiri Injili tu bali pia hufanya shunguli nyingine. Mbali na kuhubiri injili huduma hii inajishughulisha na Utunzaji wa Mazingira, pamoja na Ufugaji wa nyuki maeneo ya Kiteto Manyara, kuna Mizinga ya kienyeji na yakisasa, jumla ya Mizinga ya kianzio ni 150.

Kwa maelezo zaidi au Kutuunga mkono tafadhali wasiliana nasi "HAPA"

0 comments:

Post a Comment