Monday 23 September 2019

HUDUMA ZA UBATIZO NA KUOKOKA NA KUZIKANA IMANI ZAO NA KUMFUATA YESU

JUU: Ni watumishi wa Mungu
katika huduma ya JVM,
wakiombea maji, ishara ya
kumhusisha Roho Mtakatifu
Kabla ya maji hayo kutumika
katika kubatiza.



PICHA MBILI ZA JUU:
Ni mama na mwanaye
(Kutoka Mombo)
ambao kwa pamoja waliamua
kumfata Yesu, na kuzaliwa
kwa mara ya pili
kwa njia ya Ubatizo




CHINI:
NI HUDUMA ZA WATU MBALI MBALI
WALIOSADIKI KUZIKANA IMANI ZAO
ZA MWANZO NA KUAMUA
KUMFATA YESU
NA KUBATIZWA KATIKA MADHABAHU
YA HUDUMA YA JVM-MAUKUYUNI






PICHA YA JUU:
Ni Bi Anna, kutoka kwasunga,
akipokelewa kwa furaha
na shangwe,
mara baada ya kuamua kuikana imani yake
alokuwa akiamini mwanzo
na kuamua kumfuata Yesu
na hata kubatizwa
na kuwa wa Imani ya Kristo.

0 comments:

Post a Comment